Taja jina la mtu ambaye michango yake humu huwa inakuboa

Yule aliyeweka picha ya prof muhongo, nikiona amecomment huwa napita hata sitaki kujua amendika nn.. Naona kama ni mtu anayeongoza kunikera.. Napendekeza jamii forum waweze kuweka block. Kama mitandao mingine ili nisiweze hata kumuona kabisa
hahaha; awe wakupe uwezo wa kumremove kabisaa;;;😀😛😀😱
 
FaizaFoxy
JF-Expert Member
FaizaFoxy was last seen:
Sunday at 11:22 AM

Huyu anaishi kama shetwani sasa, si kawaida yake wiki nzima asitie maguu humu, wakati alikua hata mume hampatii haki yake ya ndoa, 24hrs JF. Bado wewe
Acha uchuro wewe dogo. Mwache dada FaizaFoxy atekeleze majukumu yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…