Taja Jina la Mtu Maarufu Tz ambaye hujawai kumuona kwa Macho yako [Live]

Tuwaseme

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2014
Posts
645
Reaction score
1,192
Wana Bodi.. Katika hali ya Kawaida kuna watu maarufu wengi ambao kwa namna moja au nyengine umekuwa ukiwasikia, ukiwaona kwenye Tv au Magazeti na pengine umekuwa ukiwafatilia lakini hujawai kuwaona Live.

Kwa Mfano' Mm Tofauti na kwenye Media, sijawai kuwaona Watu hawa kwa macho yangu yaani Live.. .

1. Dr. Dau-Mkurugenzi wa Zamani NSSF
2. Manji
3. Mzee Majuto
4. Naibu Spika Tulia
5. Vanessa Mdee
6. Dr. Harrison Mwakyembe
7. Dj. Majay wa EFM
 
Asilimia 90 ya Wa TZ hawamjui Bakhresa Original ila wanamjua mtoto wake na wengi wanatamani kumuona
 
Kingwendu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…