Taja Jina la Mtu Maarufu Tz ambaye hujawai kumuona kwa Macho yako [Live]

Woote hao uliowataja ni rahisi kuwaona ila sio mzee Said Salim Bakhresa.
 
Hahaha shemeji sio kwa kunidharau huko. Maneno ya mkosaji.

Hapo anatamani hata neno I will marry you liniponyoke
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Akuuu! Wewe wamakonde tu ndio wanakuweza.
MO11 wangu ananitosha.
Hata wewe unajua vile nampenda,vile nimekufa nikaozaa kwake.
 
Mie Bakhresa hata sura yake siifahamu coz sijawah kuiona live wala kwenye media.
mi kuna kipindi nilukaa nae karibu hasa katika hafla ya harous ya mjukuu wa edha awadh na sikumjua kabisa na tulisalimiana nae alipoondoka ndo jamaa wananambia kua huyo nlokua nae karibu yangu ndo mzee bakhresa wala sikuamini maana alivokaa wala huwez mtambua nilijua mzee wa kawaida kumbe nilikaa na tajir
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…