KoromijeTuwaseme
Shemeji umepaliwa au?Koh koh aptuuu
Nimeshikwa na kikohozi cha gafla shemejiShemeji umepaliwa au?
nilikua nakuita tuu yanga tunachezaMume wangu ni kipi labda haujaona? Au moyo wangu?
mubasharaLive au kwa picha!
Asilimia 90 umeipatajeAsilimia 90 ya Wa TZ hawamjui Bakhresa Original ila wanamjua mtoto wake na wengi wanatamani kumuona
Usisahau kumwonyesha bashite na le mutuzmubashara
Kufa tu kijanaNimeshikwa na kikohozi cha gafla shemeji
Kufa tu kijana[/qoute][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
WEWE HAPOWana Bodi.. Katika hali ya Kawaida kuna watu maarufu wengi ambao kwa namna moja au nyengine umekuwa ukiwasikia, ukiwaona kwenye Tv au Magazeti na pengine umekuwa ukiwafatilia lakini hujawai kuwaona Live.
Kwa Mfano' Mm Tofauti na kwenye Media, sijawai kuwaona Watu hawa kwa macho yangu yaani Live.. .
1. Dr. Dau-Mkurugenzi wa Zamani NSSF
2. Manji
3. Mzee Majuto
4. Naibu Spika Tulia
5. Vanessa Mdee
6. Dr. Harrison Mwakyembe
7. Dj. Majay wa EFM