Taja Jina la Mtu Maarufu Tz ambaye hujawai kumuona kwa Macho yako [Live]

relationship agreement page 6 paragraph 5
timu za kushagilia ni simba ya baba na yanga ya mama kama hazichezi zenyewe kwa zenyewe mmoja lazima amsapoti mwenzie
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hivi nitaweza kweli kuisapoti simba!! Si nitajisahau nishangilie ikifungwa mwisho uninunie buree!!
 
Inabidi tuingie mkataba mpya mpenzi.

Na zikiwa zote zinacheza tunashangilia ipi?
kwa hiyo ulisign tu bila kuusoma mkataba wa mahusiano
tena tuupitie mkataba tuongeze kipengele cha marufuku kuongea na Daby
 
kwa hiyo ulisign tu bila kuusoma mkataba wa mahusiano
tena tuupitie mkataba tuongeze kipengele cha marufuku kuongea na Daby
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Duuuh!! Huu mkataba itabidi nikausome tena kwakweli, hakuna kipengele cha kuutengua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…