Taja Jina la Mtu Maarufu Tz ambaye hujawai kumuona kwa Macho yako [Live]

Taja Jina la Mtu Maarufu Tz ambaye hujawai kumuona kwa Macho yako [Live]

Labda sio mkeo mama haambiliki. Sijui umemuambukiza domo hawezi kunyamaza [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
wewe usimtusi mke wangu kukataliwa kwako usipayuke kama .......................
 
Mtu Maarufu asiyejulikana sana Hapa Tz ni Bwana Said Salim Bakhresa huyu hata Kwa media ni Adimu sembuse kukutana naye live!!
 
Back
Top Bottom