Taja jina la "mwalimu "lililokuwa linakuvutia!

Iyegu

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Posts
6,276
Reaction score
12,404
..wakati unasoma kulikuwa na jina la mwalimu ambalo lilikuvutia sana,au hata kukuchekesha.Nakumbuka mwalimu wangu wa shule ya msingi alikuwa mzee tena wa kiume aliitwa "Mdemu" na mwingine O level aliitwa "Helmet".ebu tuambie na wewe..............
 
Huyo mwalimu ndio alisababisha wewe kufeli au kuna lingine.
 
..wakati unasoma kulikuwa na jina la mwalimu ambalo lilikuvutia sana,au hata kukuchekesha.Nakumbuka mwalimu wangu wa shule ya msingi alikuwa mzee tena wa kiume aliitwa "Mdemu".ebu tuambie na wewe..............
Mr.Chaudry wa Popatlal secondary
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…