heshima kwenu.
kwa wale tusiotumia majina yetu halisi kwenye hili jukwaa naomba tutumie huu uzi kuandika majina ya shule zetu za msingi na miaka tuliosoma kwenye hizo shule ili tuweze kufahamiana,
kama ukiwa na kumbukumbu nzuri unaweza kutaja na rafiki zako wa darasa la kwanza itapendeza zaidi.
binafisi mimi Jijayetu.
nimesoma shule ya msingi miaka ya 90 na mwanzoni kabisa wa miaka ya 2000, katika shule ya msingi Jija B iko mkoani simiyi wilaya maswa.
tuendelee kufahamiana.