Duh sawa mamaEeeeeh ndio kwanza nimeliona leo nafikiri na kylinoti. Pole yako
Ni kweliPapushikashi kila comment yake naiona mara kwa mara
rayyoungr??Kuna dogo mmoja kila nikikuta uzi umekaa ki-mliwa 0713 nakuta ni wake..Mara anampenda Jux..Mara sjui nn..jina nmesahau
Naam..kumbe anafahamika kwa wengi..rayyoungr??