mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,274
- 6,257
Nani huyo?Mmeanza kujipendekezs kwa watu enhee
Si hao wanaotaja taja majina y watu huko juuNani huyo?
[emoji38] unawivu mkuu raha jipe mwenyewe ama nini?
Hahaha hata wewe huwa nakuona sanahance mtanashati, warumi-hawa wako celebrities, yaan ukiwakosa huko bas hawako online
geniveros-yaan huwa najikuta namuona tuu
Miss Natafuta, shunie, STUNTER- hawa jukwa la mambo yetu yalee.
*hata wewe ambaye sijakutaja huwa nakuona sema hao wanawakilisha tuu
sema wewe jerrysonkiria ukiamua kupotea huwa unatokomea haswaaaa.... Btw hata wewe nakuona sanaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]rayyoungr??
Naam..kumbe anafahamika kwa wengi..
Kwakua hakuna alie kutaja...[emoji45] [emoji45]Mleta maada huna pointi, kajipange vizuri.