Waoh, ni swali aliloniuliza wife recently, japo nilikuwa na jubu tayar.....loading.........but nasummerize kama ambavyo nimepitia comment ya kila mtu kwa namna hii.....lkn mtanisamehe nabase ktk Christian names....Coz am a pure and truely Christian sio wa dini wala dhehebu...situmikii hayo mambo Natembea ktk mapenzi yake Kristo Yesu.
1.Ladies
a. Imani
b. Gloria
c. Gladness
d. Patricia...my firstborn
f. Angela
2.Boys
a. Amani
b. Nehemiah
c. Utukufu
d. Gabriel
e. Patrice
Personally napendelea watoto wa kike na bado sijui kwann, but nahisi ni coz home tumezaliwa vidume watupu 10. So namiss sana dada zangu.
Mungu nijalie nipate mtoto ambaye unamleta kwa makusudi na mapenzi yako ila sio kwa mapenzi na makusudi yangu wala binadamu yeyote.AMINA