Kuwa serious basi. Umekula maharage ya wapi sijui!!?Maduhu
Ndama mototo wa ngo'ombe
Papushika
Madenge
Papaa
Senga
Bamboo
Kalumanzila
Kende
Pepekalee
Ndagushima
Halafu mara nyingi wanakua warembo sana
Yaani hata kuandika herufu za hayo majina hatujui ila tunakomaa nayo[emoji2] [emoji2] [emoji2]Uncle,kina Hance wasumbufu sana
Majina yapi tusiyojua kuyaandika?Yaani hata kuandika herufu za hayo majina hatujui ila tunakomaa nayo[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Jinsi gani?Sizonje
Hance ndio nini? Alafu wabongo wengi mna copy majina ya wazungu mnawaita watoto wenu wakati mengine ni vifupisho au yana maana kama hilo Hans na JrMajina yapi tusiyojua kuyaandika?
Kwani shida ipo wapi?Hance ndio nini? Alafu wabongo wengi mna copy majina ya wazungu mnawauta watoto wenu wakati mengine ni vifupisho au yana maana kama hilo Hans na Jr
Na upo very proud! Wabongo safi sana