Taja kikosi chako bora cha AFCON mpaka muda huu

Smart AJ

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2022
Posts
5,564
Reaction score
5,884
Mimi naanza cha kwangu.

Ronwell Williams

Chancel Mbemba

Henock Inonga

Thuliso Mudau

Arthur Masuaku

Theboho Mokoena

Frank Kessie

Themba zwane

Oumar diakite

Ezzalzouli

Emilio Nsue

Subs,

Mabululu, Mostafa Mohamed, Ibrahim Baka, Meshack Elia, Ashraf Hakimi, Patson Daka, Seko Fofana, Mpasi, Habib Diallo.

Coach: Sebastian Desabre

4-2-3-1
 
Tunawataja waliopo au hata waliokwishaondoka?
 
Mimi First Eleven yote ya South Africa tu kwa kweli, wa kutoka Timu nyingine bila kujali nafasi wanazochezea ni Mabululu, Gelson Dala, Peter Shalulile, Deon Hotto, Ademola Lookman, Victor Osimhen, Yoane Wissa, Henock Inonga nk
 
Kwenye list yako usiache kuwataja watu hawa 1.SINAYOKO 2.MABULULU.3 VICTOR OSMHEN 4.MUDAU 5.BEMBE 6.GOLIKEEPER WILLIAMS 7.IBRA BAKA 8.DIATA 9.ADEMOLA LOOKMAN 10.PERCY TAU 11.DIGRINA
 
AFCON 2027 tungewapa Cape Verde....tufanye nao muungano aseee tutaendelea sanaa
 
1. Ronwell Williams (SA)
2. Kipren Diatta (SEN)
3. Ole Aina (NIG)
4. Ekong (NIG)
5. Mbeba (DRC)
6. Haidarra (MAL)
7. Diakitte (CDV)
8. Mokoena(SA)
9. Osimhen (NIG)
10. Sinayoko (MAL)
11. Camara (MAL)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…