Taja kikosi chako bora cha msimu 2023/2024 unaomalizika leo

Taja kikosi chako bora cha msimu 2023/2024 unaomalizika leo

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Taja kikosi chako bora cha msimu 2023/2024 msimu unaomalizika leo
kikosi changu
1.Diarra
2.Yao
3.Lawi
4.Job
5.Bacca
6.Aucho
7.Pacome
8.Feisal
9.Aziz Ki
10.Waziri JR
11.Mudathiri
 
Kikosi unachoniambia nikitaje kinaenda kucheza na nan??? Me kikosi ninachokiona in bora msimu huu ni kile kilichochukua ubingwa zingine takataka tu
 
Umeshindwa kabisa kuficha mahaba yako mwananchi mwenzangu😃
 
Taja kikosi chako bora cha msimu 2023/2024 msimu unaomalizika leo
kikosi changu
1.Diarra
2.Yao
3.Lawi
4.Job
5.Bacca
6.Aucho
7.Pacome
8.Feisal
9.Aziz Ki
10.Waziri JR
11.Mudathiri
Bila Freddy Michael Jackson hii list NJ feki.
 
Kikosi Bora wachukue tu First 11 hapo Yanga walocheza na Belozydad..wasilete mbwembwee.
 
Back
Top Bottom