Taja kipande cha mstari wa wimno wowote ambacho kinaleta ukakasi wa kimaana

Alhaji mbonde vipi safariiii...
Kuna vijana wanataka kuona bahariii...
Kunduchiii...
Ila wanaogopa yako mashartiii...
Ya kuvaa misuli wanataka surualiii...
Hakuna noma ila zipu iwe nyumaaaa!!!!
SOLO THANG ndani ya "mambo ya pwani".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…