Taja kitu au jambo ambalo unaamini linafanyika Tanzania tu

Taja kitu au jambo ambalo unaamini linafanyika Tanzania tu

Watu kupenda udaku kuliko chakula.

Mwanamke kuamini dhiki zake zote zimeisha baada ya kutongozwa.

Watu kuogopa mimba kuliko ukimwi.

Watu hasa mademu kupanga nyumba za gharama kuliko uwezo wa kipato chao.

Wanawake kucheza upatu sehemu nyingi bila ya kuwa na uhakika wa kipato cha kulipia pesa ya mchezo.

Watu kufeki maisha ya gharama huku wakiwa makapuku wakutupwa.
 
Wanafunzi kubebeshana mimba alafu kufungwa anafugwa mvulana tu.
 
Kitu au jambo gani ukilisikia tu au kuliona unajua linafanyika Tanzania hakuna sehemu nyingine.

Naanza na mimi Kuunga kifurushi cha wiki kikaisha ndani ya siku moja
Mbio za mwenge
 
Back
Top Bottom