digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Moyo, 24 hrsKatika mwili wa binadamu kuna viungo vya mwili ambavyo waweza kuta ufanyaji kazi ni mkubwa kuliko vingine,
Hebu taja kiungo kimoja katika mwili wako kinachofanya kazi kuliko chenzake,kwangu Mimi MIGUU ndo kiungo pekee hufanya kazi kuliko vingine
Good day
Sent using Jamii Forums mobile app
Moyo, 24 hrs