Taja list ya watu maarufu 3 ambao ungependa kutoka nao

Cytochrome p450

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2019
Posts
5,638
Reaction score
15,044
Habari za muda,

Kama kichwa cha mada kinavyosema.

Tupe list ya majina ya wasanii au waigizaji au watu maarufu wa3 kwa hapa bongo au duniani kote ambao unatamani leo kesho kuwa nao kimahusiano.

Kwa upande wangu.. Acha nianzie mbele halafu nirudi kwetu bongo.

1. Nikki Minaj




2. Officiallyn




3. Mimi Mars





Twendeni kazi wakuu!
 
Bila shaka pengine mnapiga punyeto kwa kuwangalia kwenye simu zenu!
Sijuwi nini kinazalisha haya mawazo kwenye bongo zenu au mnakula mirungi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…