Taja maeneo ya hovyo Dar ambayo huwezi kukaa

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
9,846
Reaction score
20,319
Mimi haya kwangu ni maeneo ya hovyo ambayo siwezi kukaa

Mbagala
Kiwalani
Buza
Temeke
Vikindu
Vingunguti
Mwananyamala
Tandale
Magomeni
Manzese
Tabata ToT
Chang'ombe
Buguruni

Haya maeneo kwangu ndo maeneo ya hovyo kabisa nakerwa na tabia za wenyeji na pia nakerwa na ujenzi mbovu wa wenyewe pia nakerwa na narudia ni tabia za wenyeji za maeneo haya wana tabia ambazo zina kila dalili za umasikini umasikini tu tabia ya kuridhika na mambo ya hovyo hovyo tu.

Kwa upande wako unadhani ni maeneo gani ya hovyo huwezi kukaa?
 
Acha dharau wewe! hizo sababu zako ni za ulimbukeni tu!

Hivi ungejikuta umezaliwa huko ungesemaje! Kwa taarifa yako kuna wastaarabu na kuna wengi unaowaona wa maana wametokea huko! Eti wenyeji wa huko wana tabia zenye dalili ya umaskini umaskini tu!

Mweeeh Hebu tuambie huko unakokaa wewe ni wapi kusiko na maskini! Na wewe ni tajiri kiasi gani???? unamiliki nini cha zaidi ya wakazi wa huko?? acha hizo!
 
Tabia ya mtu inaendana na mazingira aliyokulia kwa tabia zako ni wazi kama siyo mtu wankuja basi ulizaliwa uswekeni ila kwa sababu tuko kwenye keyboard unajifanya umetoka kwenye maisha ya hali ya juu
 
Acha dharau wewe! hizo sababu zako ni za ulimbukeni tu!
Hivi ungejikuta umezaliwa huko ungesemaje! Kwa taarifa yako kuna wastaarabu na kuna wengi unaowaona wa maana wametokea huko! Eti wenyeji wa huko wana tabia zenye dalili ya umaskini umaskini tu! mweeeh Hebu tuambie huko unakokaa wewe ni wapi kusiko na maskini! Na wewe ni tajiri kiasi gani???? unamiliki nini cha zaidi ya wakazi wa huko?? acha hizo!
Ni kweli mkuu huu uzi ni wa kipumbavu na wa kitoto sana, watu wanaishi maeneo hayo siyo kwa kupenda bali hawana jinsi na uwezo wa kuishi wapapendapo
 
Yaani nikalie Kigogo..... naaah

Yaani nikalie Upanga....! Nehii

Yaani nikalie mabibo.....! Please

Ntaumia jee...! Akuuu.
 
Mimi haya kwangu ni maeneo ya hovyo ambayo siwezi kukaa

Mbagala
Kiwalani
Buza
Temeke
Vikindu
Vingunguti
M.nyamala
Tandale
Magomeni
Manzese
Tabata ToT
Chang'ombe
Buguruni

Haya maeneo kwangu ndo maeneo ya hovyo kabisa nakerwa na tabia za wenyeji na pia nakerwa na ujenzi mbovu wa wenyewe pia nakerwa na narudia ni tabia za wenyeji za maeneo haya wana tabia ambazo zina kila dalili za umasikini umasikini tu tabia ya kuridhika na mambo ya hovyo hovyo tu.

Kwa upande wako unadhani ni maeneo gani ya hovyo huwezi kukaa?
Hongera mkuu.. kam huwez ishi fungua biashar tu usaidie vijana wa huku
 
Mimi haya kwangu ni maeneo ya hovyo ambayo siwezi kukaa

Mbagala
Kiwalani
Buza
Temeke
Vikindu
Vingunguti
M.nyamala
Tandale
Magomeni
Manzese
Tabata ToT
Chang'ombe
Buguruni

Haya maeneo kwangu ndo maeneo ya hovyo kabisa nakerwa na tabia za wenyeji na pia nakerwa na ujenzi mbovu wa wenyewe pia nakerwa na narudia ni tabia za wenyeji za maeneo haya wana tabia ambazo zina kila dalili za umasikini umasikini tu tabia ya kuridhika na mambo ya hovyo hovyo tu.

Kwa upande wako unadhani ni maeneo gani ya hovyo huwezi kukaa?
Masaki, Oysterbay na Mikocheni
 
Acha dharau wewe! hizo sababu zako ni za ulimbukeni tu!
Hivi ungejikuta umezaliwa huko ungesemaje! Kwa taarifa yako kuna wastaarabu na kuna wengi unaowaona wa maana wametokea huko! Eti wenyeji wa huko wana tabia zenye dalili ya umaskini umaskini tu! mweeeh Hebu tuambie huko unakokaa wewe ni wapi kusiko na maskini! Na wewe ni tajiri kiasi gani???? unamiliki nini cha zaidi ya wakazi wa huko?? acha hizo!
Povu la nini

Sindano imekuingia,Hama huko

Ahaaaa Pole mkuu naona ujumbe umekuuma sanaaaaa

Wera wera wela
 
haaa haaa pole mkuu am so sorry
No worries bro tutabadili mazingira tu thru education kwa jamii walau walau tuwe wastaarabu ila sio kupakimbia maana changes zinaanza na sisi including mimi ila kaka nakukubaliki sana hasa thread zako za simba maana mimi ni same nguvu moja such like you.
 
Back
Top Bottom