Kaka ninavokukubali ila leo hii unatuponda namna hii hatukupanga kuzaliwa Temeke sisi Mungu ndo kapanga😭😭😭Wilaya ya Temeke kwa ujumla ni ya hovyo kabisa.
Ni kweli mkuu huu uzi ni wa kipumbavu na wa kitoto sana, watu wanaishi maeneo hayo siyo kwa kupenda bali hawana jinsi na uwezo wa kuishi wapapendapoAcha dharau wewe! hizo sababu zako ni za ulimbukeni tu!
Hivi ungejikuta umezaliwa huko ungesemaje! Kwa taarifa yako kuna wastaarabu na kuna wengi unaowaona wa maana wametokea huko! Eti wenyeji wa huko wana tabia zenye dalili ya umaskini umaskini tu! mweeeh Hebu tuambie huko unakokaa wewe ni wapi kusiko na maskini! Na wewe ni tajiri kiasi gani???? unamiliki nini cha zaidi ya wakazi wa huko?? acha hizo!
haaa haaa pole mkuu am so sorryKaka ninavokukubali ila leo hii unatuponda namna hii hatukupanga kuzaliwa Temeke sisi Mungu ndo kapanga😭😭😭
Hongera mkuu.. kam huwez ishi fungua biashar tu usaidie vijana wa hukuMimi haya kwangu ni maeneo ya hovyo ambayo siwezi kukaa
Mbagala
Kiwalani
Buza
Temeke
Vikindu
Vingunguti
M.nyamala
Tandale
Magomeni
Manzese
Tabata ToT
Chang'ombe
Buguruni
Haya maeneo kwangu ndo maeneo ya hovyo kabisa nakerwa na tabia za wenyeji na pia nakerwa na ujenzi mbovu wa wenyewe pia nakerwa na narudia ni tabia za wenyeji za maeneo haya wana tabia ambazo zina kila dalili za umasikini umasikini tu tabia ya kuridhika na mambo ya hovyo hovyo tu.
Kwa upande wako unadhani ni maeneo gani ya hovyo huwezi kukaa?
Utakuwa ulizaliwa Pluto maana huku duniani kwa ujumla ni kwa ovyo kinoma.Wilaya ya Temeke kwa ujumla ni ya hovyo kabisa.
Masaki, Oysterbay na MikocheniMimi haya kwangu ni maeneo ya hovyo ambayo siwezi kukaa
Mbagala
Kiwalani
Buza
Temeke
Vikindu
Vingunguti
M.nyamala
Tandale
Magomeni
Manzese
Tabata ToT
Chang'ombe
Buguruni
Haya maeneo kwangu ndo maeneo ya hovyo kabisa nakerwa na tabia za wenyeji na pia nakerwa na ujenzi mbovu wa wenyewe pia nakerwa na narudia ni tabia za wenyeji za maeneo haya wana tabia ambazo zina kila dalili za umasikini umasikini tu tabia ya kuridhika na mambo ya hovyo hovyo tu.
Kwa upande wako unadhani ni maeneo gani ya hovyo huwezi kukaa?
Povu la niniAcha dharau wewe! hizo sababu zako ni za ulimbukeni tu!
Hivi ungejikuta umezaliwa huko ungesemaje! Kwa taarifa yako kuna wastaarabu na kuna wengi unaowaona wa maana wametokea huko! Eti wenyeji wa huko wana tabia zenye dalili ya umaskini umaskini tu! mweeeh Hebu tuambie huko unakokaa wewe ni wapi kusiko na maskini! Na wewe ni tajiri kiasi gani???? unamiliki nini cha zaidi ya wakazi wa huko?? acha hizo!
No worries bro tutabadili mazingira tu thru education kwa jamii walau walau tuwe wastaarabu ila sio kupakimbia maana changes zinaanza na sisi including mimi ila kaka nakukubaliki sana hasa thread zako za simba maana mimi ni same nguvu moja such like you.haaa haaa pole mkuu am so sorry
Povu la nini
Sindano imekuingia,Hama huko
Ahaaaa Pole mkuu naona ujumbe umekuuma sanaaaaa
Wera wera wela