Taja maeneo yanayoongoza kwa matumizi ya ngada

Taja maeneo yanayoongoza kwa matumizi ya ngada

believer

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2012
Posts
639
Reaction score
216
Matumizi ya ngada(dawa za kulevya)yanaendelea kuangamiza nguvu kazi ya tz,kuna maeneo mengi tunashuhudia mateja wala ngada,maeneo hayo yakiwa bayana labda wahusika watafatilia root cause,mfano ni MAGOMENI,tupia maeneo mengine dar na nchi kwaujumla.
 
Bila kutaja wafadhali au waingiza unga wenyewe haina tija,me naanza n'a magogoni kwani kikwete anayo list n'a hadi watu wakarbu yake kama mwanae wanavuma!!!
 
Kinondoni kila baada ya hatua 2 lazima ukutane na teja au mtu anaongea peke yake.
 
Magogoni

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hili janga ni kubwa mno,waathirika ndio tunaowaonea huruma,nguvu kaz inapotea km maeneo ya walioathirika yakijulikana wanahusika na vita hii watachukua hatua,hii ni vita yetu wote,sisi mchango ni ku-expose maeneo tunayoona waathirika wamejaa,kujua drug dealers ni ngumu.
 
karibuni kila sehemu bongo dili za kimasogange zipo, ngada inapatika hadi mlimani city
 
Back
Top Bottom