nyani Ngabu, GENTAMYCINE, CiproflaxinKwa ufupi kuna baadhi ya majina nikisoma huwa nacheka sana nikiwa natafakari huyo mtu mwenye hilo jina alikua anawaza nini wakati wa kujisajili humu JF. Majina ya kufurahisha ni kama yafuatayo, kwa uchache:
1. Mchecheto;
2. Miss Natafuta;
3. Kipara kipya;
4. Mkwepa kodi
5......................
Basi burdani.
Mkuu nini maana ya Jina lako?
When you are confident with yourself the sky is your limit.Mkuu nini maana ya Jina lako?
Safi sana mkuu.When you are confident the sky is your limit.
Acha unafkiSafi sana mkuu.
Fafanua..Acha unafki
Mfiranyati n Mborombiri
Aisee we jamaa naona umeanza kunisakama.Roboti la matope
Shibekijijini
[emoji23]Mtu kujiita Behaviourist halafu unakuwa chenga...inachekesha