TAJA MAJINA YAKO YA UTANI NA MAANA ZAKE HAKIKA UNAWEZA KUPATA NDUGU YAKO KUPITIA HAPA

onedayes

Member
Joined
Sep 2, 2016
Posts
52
Reaction score
20
Habari zenu wapenda naleta huu uzi kwa wale wote wenye majina tofauti na yalio kwenye vyeti yaliyotokana na kupewa na marafiki shuleni,mazoizini,safarini,vyuoni na n.k
NAANZA NA MIMI MWENYEWE
BACHKRESSA-- Hili limetokana na kuishi katika familia ya watu waliofanya kazi katika kampuni ya ssb hivyo ile mikate,biskuti zilikuwa hazikosekani mbele ya marafiki zangu na kunipa jina hilo

DIEGO-Hili kutokana na kipaji cha mpira nilichokuwa nacho watu wakanipa jina hilo

MONGA-Mtu wa misosi sana hata chakula kiwe cha moto kiwango gani basi lazima uombe poo.

Sura ya chapati
Kenge
Kigosi na mengi nayo unaweza weka ya kwako hapo
 
KADOKA- Hili nilipewa na mwalimu wa somo la Kingereza kwa sababu nilipokua form one boarding nilikuwa mchafu sana. Sifui nguo.
Nilipokua form two nilibadilika lakini!
 
KADOKA- Hili nilipewa na mwalimu wa somo la Kingereza kwa sababu nilipokua form one boarding nilikuwa mchafu sana. Sifui nguo.
Nilipokua form two nilibadilika lakini!
Sawa kak
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…