duh, akijua hilo atakubal kwelmimi ni mwanaume na nina best wa kike na nafsi yangu inaniambia hakuna ubest kati ya jinsi mbili tofauti,
kwaiyo basi nachotaka mimi kutoka kwa huyu best ni mbunye tu
hahahah, so ila unataka ukiwa na best tena akufanyie niniNamkumbuka Bestfriend wangu siku alionambia kuwa anampenda demu wangu nilibaki kumshangaa tu. Kumbe jamaa alikuwa yupo serious alifanya mpaka tuliachana na mwanamke wa doto yangu. kibaya zaidi na yeye alimkosa pia.😀😀
Mkuu mambo ya mabest kwakweli mimi siamini labda nipo tofauti na wengine kimaono.
duh, sasa hutakuwa na rafiki yeyote umpendaye kwa dhatiMkuu mambo ya mabest kwakweli mimi siamini labda nipo tofauti na wengine kimaono.
Hakuna nina rafiki wa kimaslahi tu maslahi yakisha humweka pembeni.
Ohoo, fafanu kidogo[emoji117] 'maslahi'Hakuna nina rafiki wa kimaslahi tu maslahi yakisha humweka pembeni.
Hehehehe dah nimecheka kwa sauti na Niko msibani dahmimi ni mwanaume na nina best wa kike na nafsi yangu inaniambia hakuna ubest kati ya jinsi mbili tofauti,
kwaiyo basi nachotaka mimi kutoka kwa huyu best ni mbunye tu
Hapo hata hujasema mambo gani unataka akufanyie.Habarini wadau wenzangu
kama uzi unavyojielezea naomba kila mtu ataje mambo matatu anayopenda besti (rafiki yake kipenzi amfanyie)
mimi ninayopenda anifanyie ni:-
1. asiwe muongo sana, kila kitu anachosikia kwangu anataka akisambaze
2. asipende kuniombaomba vihela bila sababu[emoji12]
3. asiwe na mademu wengi, sababu ipo siku hakosi ataniaibisha bure
Nawe taja yako!!
Sent using Jamii Forums mobile app
sitajishughulisha na mtu asiyenijali kwa vyovyote, ni sawa na kumtandikia matandiko hayawani anayepita zake [emoji6]Waza utamfanyia nini best wako bila kutamani kufanyiwa hata moja kutoka kwake.