Taja Mambo Mazuri na Mabaya ambayo Tanzania inaongoza

Taja Mambo Mazuri na Mabaya ambayo Tanzania inaongoza

bizplan

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2013
Posts
592
Reaction score
574
Tanzania kama nchi inayo mambo mengi inaongoza. Yapo mazuri na mabaya. Taja mambo ambayo unaona ama unajua kuwa Tanzania inaongoza Afrika Mashariki, Afrika na duniani kwa ujumla.

Kwa kuanza..

1. Tanzania ndiyo nchi yenye wazungumzaji wengi wa lugha ya Kiswahili duniani. Ikifuatiwa na Kenya..
 
Wanafiki na hatujui kiingereza wasomi na wasio wasomi
Mkuu kwenye hii ishu ya lugha hapa baada ya kutembea nchi kadhaa nimegundua tuna advantage sana kutumia lugha yetu ya kiswahili kuliko lugha za wakoloni.

Kuna baadhi ya nchi africa zina migogoro sana kwa sababu ya kukumbatia lugha za wakoloni kuwasiliana. Kwa mfano nchi ya Cameroon sasa hivi wanapigana huko kisa lugha za wakoloni, kuna upande wanaongea kiingereza na upande mwingine kifaransa, sasa wale wanaotumia kiingereza wameanzisha vita wanataka wajitenge wawe na nchi yao peke yao maana viongozi wengi wa serikali wanatumia kifaransa sasa wale wa kiingereza wanajihisi wanatengwa

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Tanzania ni nchi ya kwanza duniani kuvunja rekodi ya kuwa na dikiteta mwenye jinsia ya kike.
 
2. Mabaya:
(a) Uchawi/Ushirikina
(b) Unafiki kiwango cha PhD.
(c) Uvivu
(d) Umbea.
(e) n.k
 
Back
Top Bottom