Taja mashine/chombo ambacho unaweza kuwa unakikodisha na kikakupatia hela

Taja mashine/chombo ambacho unaweza kuwa unakikodisha na kikakupatia hela

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Kwenye upande wa ufundi unaweza ukawa na vitu vifuatavyo mafundi wakaja kukodisha wakafanyie kazi kwa maana mafundi wengi tu nawajua wana ujuzi ila hawana vifaa.
TOOLBOX SET
GRANDER
MACHINE ZA KUPAKA RANGI
MACHINE ZA KUCHOMELEA
HAMER DRILL
MASHINE YA KUFYATUA MATOFALI
MATOROLI
MASHINE YA KUCHANGANYA ZEGE
KUNA ILE MASHINE YA KUFUNGIA NUTS

kwenye upande wa KILIMO.
MASHINE YA KUPUKUCHUA MAHINDI
MASHINE YA KUPULIZIA DAWA

WADAU MNAWEZA KUENDELEA KUORODHESHA.
 
Mashine ya kuweld madirisha ya upvc. Kila dirisha 10000
 
Back
Top Bottom