Taja mboga ambayo ukiipika utaila weee ila sifa yake ni kwamba haiishagi mimi naanza na Kabeji (kabichi)

Taja mboga ambayo ukiipika utaila weee ila sifa yake ni kwamba haiishagi mimi naanza na Kabeji (kabichi)

Malaika wa Misukosuko

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2021
Posts
2,470
Reaction score
7,376
Habari ndugu zangu,

Moja ya sifa ya kabeji ni kwamba unaipika unaila mpaka unatamani iishe sasa ila ndo haiishi....twende kazi mboga gani nyingine ina sifa hii ?

download (7).jpeg
 
Back
Top Bottom