Malaika wa Misukosuko JF-Expert Member Joined Jul 16, 2021 Posts 2,470 Reaction score 7,376 Nov 24, 2024 #1 Habari ndugu zangu, Moja ya sifa ya kabeji ni kwamba unaipika unaila mpaka unatamani iishe sasa ila ndo haiishi....twende kazi mboga gani nyingine ina sifa hii ?
Habari ndugu zangu, Moja ya sifa ya kabeji ni kwamba unaipika unaila mpaka unatamani iishe sasa ila ndo haiishi....twende kazi mboga gani nyingine ina sifa hii ?
F fimboyaukwaju JF-Expert Member Joined Aug 3, 2020 Posts 2,977 Reaction score 3,798 Nov 25, 2024 #2 Ingawa sijakuelewa vizuri ulimaanisha nini,mimi mboga ambayo huwa haniishi hamu ni bamia,nyanya chungu na biringanya,hizo mboga huwa nakula kila siku
Ingawa sijakuelewa vizuri ulimaanisha nini,mimi mboga ambayo huwa haniishi hamu ni bamia,nyanya chungu na biringanya,hizo mboga huwa nakula kila siku
BlackPanther JF-Expert Member Joined Nov 25, 2015 Posts 9,185 Reaction score 8,715 Nov 25, 2024 #3 Malaika wa Misukosuko said: Habari ndugu zangu, Moja ya sifa ya kabeji ni kwamba unaipika unaila mpaka unatamani iishe sasa ila ndo haiishi....twende kazi mboga gani nyingine ina sifa hii ? View attachment 3160640 Click to expand... Bhebhe nang'ho! Kabichi sio mboga, ni jamii ya salad nnavyojua, ingawa unaweza kuipika kama mboga
Malaika wa Misukosuko said: Habari ndugu zangu, Moja ya sifa ya kabeji ni kwamba unaipika unaila mpaka unatamani iishe sasa ila ndo haiishi....twende kazi mboga gani nyingine ina sifa hii ? View attachment 3160640 Click to expand... Bhebhe nang'ho! Kabichi sio mboga, ni jamii ya salad nnavyojua, ingawa unaweza kuipika kama mboga
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Nov 25, 2024 #4 Malaika wa Misukosuko said: Habari ndugu zangu, Moja ya sifa ya kabeji ni kwamba unaipika unaila mpaka unatamani iishe sasa ila ndo haiishi....twende kazi mboga gani nyingine ina sifa hii ? View attachment 3160640 Click to expand... Mlenda na mnavu
Malaika wa Misukosuko said: Habari ndugu zangu, Moja ya sifa ya kabeji ni kwamba unaipika unaila mpaka unatamani iishe sasa ila ndo haiishi....twende kazi mboga gani nyingine ina sifa hii ? View attachment 3160640 Click to expand... Mlenda na mnavu
Mtumishi wa Bwana89 JF-Expert Member Joined Jul 23, 2018 Posts 3,191 Reaction score 4,220 Nov 25, 2024 #5 Mchunga wa nazi
EEX JF-Expert Member Joined Oct 19, 2014 Posts 3,781 Reaction score 12,091 Nov 25, 2024 #6 Biringanya.
zerominus10 JF-Expert Member Joined Aug 25, 2022 Posts 8,142 Reaction score 13,721 Nov 25, 2024 #7 Mshana Jr said: Mlenda na mnavu Click to expand... Viazi mviringo mixing ya mayai ya kanga pori asieweza kupaa angani (Mbuni) Huku porini nilipo hio mboga siichoki
Mshana Jr said: Mlenda na mnavu Click to expand... Viazi mviringo mixing ya mayai ya kanga pori asieweza kupaa angani (Mbuni) Huku porini nilipo hio mboga siichoki
Remmygius JF-Expert Member Joined Jul 19, 2018 Posts 690 Reaction score 480 Dec 18, 2024 #8 Cabbage haijawahi kwisha