Taja mchezaji unayemkumbuka hapo

Hawa ndio waafrika hata wakienda kombe la dunia mnajua wanatuwakilisha na vile vimbwanga vya kiafrika ,mara wameenda na jezi za carwash, mara jezi za overall na wakiwa uwanjani ni kazi kazi hawana muda wa kuhesabu pasi ni kutfuta nyavu zikowapi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…