Hahaha hahahahHahahaha
Kipi ambacho tunafanana?au ni hiyo midomo?
HahahahaHahaha hahahah
Hiyo midomo wewe mdaka chozi, kila nikikutana naye hudhani ni wewe apo jamani!
Hahaha hahaha hahahaHahahaha
Ngoja na wewe nitakutafutia pacha wako
Hapana hapa..bak ni bak ba tindo ni tindo..art zao sio 1
na mamako atakuwa nan
Haha sisi ni mtu na mama yake kabisa.
Hahahaha
Kipi ambacho tunafanana?au ni hiyo midomo?
Asante mdogo wangu wa nguvu.Pole Dada wa mie. Nimefurahi kukuona na sisi tunakumiss pia.
Natumai Dom wazima.
Yes we are, Heaven Sent ni binti yangu kipenzi.
Ugomvi wa kwenye keyboards hizi au?Kuna mtu anafanana sana na yule shumizi Raybayb najua nikimtaja hapa ni ugomvi!
Aisee.Haha sisi ni mtu na mama yake kabisa.
Nilidhani ni ID ya mtu mmoja.Yes we are, Heaven Sent ni binti yangu kipenzi.
Oooh!! Hapana, ni id mbili tofauti kabisa. Ila za mtu na mama yake.
Ningependa nionane na mtu na mama ake.Oooh!! Hapana, ni id mbili tofauti kabisa. Ila za mtu na mama yake.