Taja msanii unayekaa naye mtaa mmoja ila sasa kawa choka mbaya

Sijaelewa. Mantiki ya mtoa mada
cha ajabu nini mtu kuteteleka kimaisha nayo ni hoja?
msanii ni nani hadi iwe ajabu kwako?
 
PNC kachoka sana siku hizi kaacha kuimba anauza mihogo.

Mataluma kashaisha kabisa kisanii siku hizi anauza mkaa.

Ommy Dimpozi kashaisha kisanii siku hizi ameolewa ndoa ya siri huko Dubai.
PNC nilimsikia kwenye u heard kwa Soud anavuta ugoro siku hizi,halafu watu walimcheka Mavoko alivyojiunga WCB alishtuka mapema yangemkuta saa hizi na yeye angekuwa anavuta ugoro mtaani.
 
Nakaa Mtaa mmoja na Eliakibu Kindambwa ni Msanii Underground toka zamani amechoka
 
Nunua kazi ya msanii nenda kalipe kwenye onyesho lake sio unakaa na kumsanifu akiiwa chini poor mind
 
Tupo na msanii anaitwa madenge ,sahz ametoka kuwa katuni had fundi
 
Nipo na feroozi uku ..anauza mgahawa kachoka sana ananiomba niwe menager wake..
 
Mpaka kapewa na nyumba na viguta chezea kuwasema umbea wakubwa yote kayasababisha mama wema sepetu
Hauko well informed, pole.

Steve ana connection ya moja kwa mojs ikulu, endeleeni kuita watu wamechoka mwenzio anazunguka Tanzania nzima wewe hata nauli ya kwenda Tegeta inakusumbuwa na bado unamnyooshea kidole mtu anayetembelea Prado Tx.

Watu wenye akili hizi za kilofa utawapata Tanzania tu.
 
steve nyerere anawatafutia mademu ni kuadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…