ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Lengo Ni ili umpate jirani wako mjadili matatizo ya maeneo ya kwenu au kujuzana machimbo au matukio na maafa ya huko kwenu.
Naanza Mimi kwa sasa naishi mtaa wa mwenge mkoani singida.
Karibuni msiogope
Naanza Mimi kwa sasa naishi mtaa wa mwenge mkoani singida.
Karibuni msiogope