ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Na Mimi huwa sielewi kwanini Wana jf wanaogopana Sana ilifaa Wana jf ndo tujuane kabisa tunaishi Mara moja tuUkifika maeneo ya Kiluvya - Luguruni hadi Mbezi Louis ni mitaa yangu
Watu wanaogopa hata kutaja mkoa aliopo dah??Na Mimi huwa sielewi kwanini Wana jf wanaogopana Sana ilifaa Wana jf ndo tujuane kabisa tunaishi Mara moja tu
Hahaha Nina jamaa yangu hapo kwa nyuma karibu na ile gereji kwa pembeni SI Kuna bar Ina pool table unaijua?Nipo Lemax Bar kwa nyuma hapa
Sorry wilaya gani inapatikanaNiko mijelejele
MasasiSorry wilaya gani inapatikana
Tupo pamoja mkuuChato, nipo hapa full time.
mi siko mjini huko mkuu, niko vijiji vya mkato vya kwenda Lulindi, Njia ya kuja NewalaJida
Kaumu
Mkuti
Au wapi