Taja mtu mmoja mwenye uthubutu

Taja mtu mmoja mwenye uthubutu

Snipes

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2013
Posts
9,165
Reaction score
16,791
mtu mwenye uthubutu ni yule mwanaume anaetuma nauli kwa mwanamke ambaye hawajahi kuonana hata siku moja.

tiririka
 
Mwenye uthubutu ni yule anaemtumia vocha binti aliyekosea namba kwenye simu yake wakati hata hamjui
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
 
Ni yule ambae anaiba kisha anarudisha😀
 
  • Thanks
Reactions: SDG
ni yule anaye zama kwenye Pm za watu alafu anakuta kimyaaa!
 
Back
Top Bottom