Taja mziki wowote wa Rhumba unaokuburudisha ukiwa unapata bia au pombe kali.

Taja mziki wowote wa Rhumba unaokuburudisha ukiwa unapata bia au pombe kali.

mockers

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Posts
12,843
Reaction score
35,442
Wakuu
Kuna rhumba ikipigwa huku ukiwa unapata beer, wine, au spirits unahisi raha zote ziko juu yako,
Upande wangu nikiwa sehemu ya wazi kabisa huku naangalia maji ya bahari au ziwa huku upepo ukipuliza ukapiga fatimata/fatoumata ya Sam manguana nafeel vizuri sana wakati huo sauti ya franco isikose hasa kimpa kisangamen niisikie ndio raha yangu nitataja vibao vingine baadae.
 
Back
Top Bottom