Taja nyimbo kali (song hits)

Taja nyimbo kali (song hits)

mahadhialy

Member
Joined
Oct 19, 2019
Posts
45
Reaction score
24
Habari zenu wana JF, ninaomba tutaje nyimbo zinazo hits sasa hivi kitaani. Sisi nyimbo inayo hits zaidi kitaani kwetu ni Jeje of Diamond Platnumz
 
Nas Escoba-i know I can, Psquire ft.Dave Scott-bring it on,Bob Marley-war,Weusi-jasiri, Chid-benz-natubuTouch and hold a clip to pin it. Unpinned clips will be deleted after 1 hour.
 
Umeambiwa ngoma zinazofuata hit kitaani kwenu sio unazopenda uwe unaelewa.
 
Kwa hiyo wewe unajua ngoma Kali mtaani kwetu si uzipost

[/QUOTE]
 
Sasa wimbo Kama war wa Bob Marley unatambaje kitaani?wakati ni wa muda mrefu Sana.
 
[QUOTE="gwankaja, post:
Tatizo ni kwamba hujamtaja bwana ake.. Domo[/QUOTE]nyimbo Kali mtaani kwetu ndo hizo Kama kitaani kwai anazijua yeye

Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE]
 
si huo tu hata alpha blond-masada,sugu-mikononi mwa polisi, Nuruel ft.Mishi-chondechonde,jafarahi ft.daz mwalim-niko bize yaani Kama sherehe hapa kitaani

Back
Top Bottom