Yofav
JF-Expert Member
- Mar 12, 2021
- 4,236
- 7,583
Habari wana Jamvi,
Najua wengi wetu humu ni watumiaji wa usafiri wa bodaboda na kama sio basi tunawajua hawa madereva wa hivi vyombo vya moto.
Okay, ebu kutokana na hiyo picha hapo juu, Huyo kijana alivyonyoa na muonekano wake kwa nyuma taja sifa zao hapa, na pia kuna wajuzi zaidi wanaoweza kujua huyu kijana chini amevalia vipi😁