Taja sifa za wanawake waovaa hivi

Hannah umesikia maneno hayo
 
Kidume mwenzangu umeshawahi kukutana na wadada waivaa kama hiyo picha hapo chini?

Tiririka sifa zao hapo chini……


View attachment 2902682
Wana viherehere, vyembamba, ukialika mmoja wanakuja si chini ya wanne, vinakunywa savanna au desperado ila vikiwa vyenyewe vinakunywa Serengeti lite. Kama mlafi unaweza kuvila crew nzima.
NB. Hata ukivitoa saa 8 usiku lazima vigonge menu.
 
Uzi ufungwe jamaa kamaliza kila kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…