Kabisa aise yuko vizuriMduchu sana huyo sema akili nyingi mno zimetangulia umri
30 - 35Mimi huwa naona kwenye Salary sleep nimeandikiwa nastaafu 2046,sasa sijui nina miaka mingapi ?
Una miaka 33Mimi huwa naona kwenye Salary sleep nimeandikiwa nastaafu 2046,sasa sijui nina miaka mingapi ?
Mdogo wangu hujambo?Mwanzoni mwa 2020 ndio nitafika hiyo [emoji125]
Yaani we huo mwaka mmoja ndio wakuniita me mdogo wako?Mdogo wangu hujambo?
Kwahiyo umeamini nitakuwa mdogo kweli? ππππAu uongo?? Kumbe wewe mdunchu hivyo??
ππππjamani.Mduchu sana huyo sema akili nyingi mno zimetangulia umri
[emoji23][emoji23]hy hy umptia sasa.Haha! Sawa maana naona unataka kuniaminisha kuwa una miaka 19 ilihali nafsi yangu imekataa.
Sema kweli[emoji2817][emoji2817][emoji2817][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]Dogo hujambo!?Below 30.. Above 28..
33 π€£πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈMimi huwa naona kwenye Salary sleep nimeandikiwa nastaafu 2046,sasa sijui nina miaka mingapi ?
-17.675.53709 ~ 17.650Γ9β’5-15+67+346Γ·346+2684+367-374Γ253Γ·4β’26-15+123-100+2β’2-0+0-5+956-+4=
HEBU TUONE PICHA YAKO ILI TUAMINIUsiongope na wala usiogope Taja Umri wako Sahihi hapa,
Kwangu 25 yrs old.
UsiwaambiePunguza miezi kadhaa maana mwakani mwezi wa pili nafikisha.