Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
[emoji1] [emoji1] mi similiki chura banaa
Una sh ngapi??50×9•5-15+67+346÷346+2684+367-374×253÷4•26-15+123-100+2•2-0+0-5+956-+4=
Uchawi umejifunza lini sasa?
Kwanini mkuu?Una sh ngapi??
Haha sasa ulitaka tukokotoe hiyo hesabu bure mkuu??Kwanini mkuu?
Below 30
kwa kumaliza utata atakuwa na 26, 27, 28, 29Then above 25
Kazi kwanza malipo baadae.Haha sasa ulitaka tukokotoe hiyo hesabu bure mkuu??
Usiongope na wala usiogope Taja Umri wako Sahihi hapa,
Kwangu 25 yrs old.
Cc Zero IQ
Msalimie emmytaDada kumbe tushazeeka eee? 🤔🤔🤔
Tujiandae kula pensheni tu sasa.
28Usiongope na wala usiogope Taja Umri wako Sahihi hapa,
Kwangu 25 yrs old.
Cc Zero IQ
Nini vipi we koncho wengine bibi zako humu uwe unatuamkiaNini????
Hahahah tumejizeekea dadaDada kumbe tushazeeka eee? [emoji848][emoji848][emoji848]
Tujiandae kula pensheni tu sasa.
Tutashinda kwa kishindo!
Zimefika Babu. Teh teh.Msalimie emmyta
Kabisaaa Dada. Uko mzima lakini?Hahahah tumejizeekea dada
Nipo mzima dada akee vipi upande wakoKabisaaa Dada. Uko mzima lakini?
Nipo mzima dada akee vipi upande wako
Na mm niwasalimie Rafiki zanguKabisaaa Dada. Uko mzima lakini?