Taja vipindi vya televisheni vinavyoharibu maadili ya Kitanzania

Pesanyingi

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2023
Posts
1,157
Reaction score
1,983
Mimi naanza na kipindi Cha Dadaz. Hiki kipindi sijawahi kukielewa kabisa lengo lake ni nini. Kwanza mda wote watangazaji wanaongea bila kupeana zamu ya kuzungumza.

Na zaidi nachoona kinalenga kuwafanya mabinti wengi wasiolewe kwa jinsi kinavyopandikiza mbegu ya jeuri, ujuaji, ubabe na ukorofi kwa wanawake dhidi ya wanaume, tofauti kabisa na Mila na tamaduni za Kiafrika.
 
MAADILI ARE NOT UNIVERSAL ACHANA NA UJINGA HUO sHUGHUL;IKA NA HIZI SHERIA ZINAZOTAKA KUTUNGWA KUUMIZA WATU
 
haaaa kumbe ni ma singo mama? ndo maaana
 
MAADILI ARE NOT UNIVERSAL ACHANA NA UJINGA HUO sHUGHUL;IKA NA HIZI SHERIA ZINAZOTAKA KUTUNGWA KUUMIZA WATU
Ubinafsi umekujaa, kila mtu ana interest yake katika ulimwengu huu! Usipende kulazimisha watu wote wawe waha cc Joannah
 
Huku Ibologelo hiyo Tv chanel haijawai kurushwa hewani mkuu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…