[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]wewe umenifurahisha kweli jaman, akili yako iko kwenye K zaidi
nilikuwa na mpango wa kuku Approach ujue.1-majungu,umbea
2-uongo,masengenyo
3-mapenzi
4-Dharau,kiburi kujisikia
5-siasa jamani naichukia mnoo
6-kujichanganya kwenye makundi makundi
7-KUTONGOZWAAA
[emoji23] [emoji23] [emoji23] pole mnoonilikuwa na mpango wa kuku Approach ujue.
Sent from my Exclusive Y30-U00 using JamiiForums mobile app
nachukia....Taja vitu 5 unavyo vichukia kuliko vyote. mfano binafsi nachukia
1. UCHAFU (KIMWILI NA KIROHO)
2. UNAFIKI
3. UMASIKINI
4. UJINGA
5. UGOMVI
KARIBUNI MUAMSHE MADUDE..........
Ila nitakutafuta[emoji23] [emoji23] [emoji23] pole mnoo
Mi pia nilikumiss saana.Jamani nilikumisije![emoji4][emoji4][emoji4]
Post sent using JamiiForums mobile app
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Kufanya kazi
Kuamka mapema
Watu walofanikiwa
Ndoa zinazodumu
Ukweli
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Mi bado mdogo, nasoma magu hana mcheziooo[emoji639] [emoji646]Ila nitakutafuta
tujajenge
Sent from my Exclusive Y30-U00 using JamiiForums mobile app
Sio mbayaMi bado mdogo, nasoma magu hana mcheziooo[emoji639] [emoji646]
Hako kapicha hapo kwenye avatar yako huwa kananipagawisha my dear!Mi pia nilikumiss saana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] utakuwa ushazeeka, na mie sitoweza kuvumilia miaka 30 bila kupata utamuuu huoni km utakuta nishawahiwa tunda lako linamegwa na wengineSio mbaya
nkitoka jela nakuta mtoto wetu ana degree ya uhandisi,
Sent from my Exclusive Y30-U00 using JamiiForums mobile app
HahahhahahahahahKuongozwa na serikali ya chama kimoja kwa miaka zaidi ya 50.
Sent from my Exclusive Y30-U00 using JamiiForums mobile app
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] kwenye K mkuu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Akili yake ipo kwenye nini ?
Sent from my Exclusive Y30-U00 using JamiiForums mobile app