Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Kufuatia kuendelea kusuasua kwa Man Utd msimu huu mara hata baada ya kubadili kocha toka Mourinho na sasa Ole Gunnar bado timu imekuwa ni homa ya vipindi.
Inaonekana baadhi ya wachezaji hawana sifa za kuitumikia Man Utd, viwango vyao ni vidogo sana hivyo ni muda muafaka wa kuondoka klabuni hapo na kupisha wachezaji wapya ambao wataweza kwendana na kasi na matakwa ya timu.
Je ni wachezaji gani msimu ujao hawatakiwi kuendelea kuwepo Man Utd, karibu tuwataje.
Mimi naanza na hawa wafuatao, Ashley Young, Smalling, Fred, Sanchez na Pogba.