Kwa miaka mingi, Man Utd haijawahi kuwa tishio/kushindania mataji ikiwa na MAKINDA. Hii si hali halisi, hata kama tutaamua kuangalia majirani, walipoanza kuendekeza hawa makinda, ndo tulipoanza kuitoa the gunners kwenye mbio za kugombea ubingwa wa ligi....na sasa, ukiangalia timu kama Crystal palace, Westham united, zinaonekana zimeimarika sababu ya wakongwe....
Martial, Lingard, Fred, Smalling, Jones, Dalot, Lukaku, hawafai kuwepo kikosini....bado nitapendelea kumuona Young kama atarudishwa nafasi yake, apambanie nafasi na Valencia, Mata na Matic sitawapumzisha hata mechi moja.
Nakumbuka; Keane, Scholes, Carrick, Fletcher, Anderson, CR7, Giggs, Valencia, Young, n.k
Brown, Ferdinand, Evra, Jones n.k
Sikumbuki kusumbulia na timu za ajabu ajabu, sioni kinda hapo!