Taja watu maarufu katika majukwaa baadhi ya Forums hapa JF

Deadbody

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
4,274
Reaction score
6,595
Mimi naanza na hawa

mshana jr KABOBEA Jamii Photos
Mussolin5 KABOBEA Sports
GENTAMYCINE KABOBEA Habari na Hoja mchanganyiko hasa katika threads zake zile za kutisha ila za uwongo
The bold KABOBEA Jamii Intelligence
Sky Eclat KABOBEA Mahusiano, mapenzi, urafiki
Joseverest huyu ni maarufu kila jukwaa linalojipendekeza katika kupost mapema.Hata hii thread atakuwa wa kwanza pia
ONTARIO KABOBEA Biashara, Uchumi na Ujasiriamali
Mohamed Said KABOBEA Jukwaa la Siasa kipengele cha Jukwaa la Siasa


Yani hawa members katika mjukwaa mengine huko hawajulikani sana zaidi ya huko nilipowataja.

Tiririka members wengine waliobobea majukwaa machache tu
 
Asante sana mkuu
 

Haya bhana! Shukran lakini kwani ukiona kati ya Members jumla wa JF 300,000 na Wewe unajulikana na kutambulika hivi jua ya kwamba una vitu ' adimu ' na una ' umuhimu ' wako Jamvini. Ambao hamjatajwa wala msichukie tatizo ni ' Nyota ' zenu ni za ' Bundi ' ndiyo maana hamna ' mvuto ' na wala ' hamtambuliki '. Hivi kiukweli utakuwaje ' Purely Talented and Charismatic Fella ' halafu usiwe na ' thamani ' ya Kutukuka kabisa humu JF?

Kama nawaona vile ' mtakavyofyatuka ' huko mliko ' mapangoni ' baada ya GENTAMYCINE kuliamsha ' Dude ' kwa kuwachokoza.
 
ila wee jamaa unasifa sana
 
Mkuu nashukuru sana! Ubarikiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…