Ndio kwani hujui?
Hao ni damu kabisaKane+Undertaker.
(Wrestlers)
Hapana mamimiloo au labda ntakuwa nimekusahau, unatumia jina lipi katika umaarufu?Ndio kwani hujui?
Ningekuwa nataka nijulikane si ningetumia hilo hata humuHapana mamimiloo au labda ntakuwa nimekusahau, unatumia jina lipi katika umaarufu?
Sent using Jamii Forums mobile app
@Khantwe [emoji1]Ningekuwa nataka nijulikane si ningetumia hilo hata humu
Hakuna kitu kama hicho, hiyo ilikuwa ni namna tu ya kuvutia watizamaji katika kazi yao yaani ilikuwa ni kitu cha kutengeneza tu.Hao ni damu kabisa
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Inasemekana mama yake na undertaker ali cheat na kumzaa KaneHakuna kitu kama hicho, hiyo ilikuwa ni namna tu ya kuvutia watizamaji katika kazi yao yaani ilikuwa ni kitu cha kutengeneza tu.