Taja watu mashuhuri ambao kwako wewe unadhani hata ukiambiwa wana undugu kwa kufanana kwao hautobisha kabisa

Kamanda Kova, Msanii Sheta na Meddy Kagere hao watatu ni triplet kabisa sura zao.
 
Usher Raymond na Bushmen wa kwenye Gods Must be Crazy.
 
Rais Putin na Arthur Pendragon wa Merlin (refer picha za Putin akiwa kijana)
 
Iyanya na fally ipupa, wanafanania sana hasa sauti kucheza na swag
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…