Mbona umetaja wanawake tupu?
Anataka sadaka kuliko kitu kingine chochotebaba paroko huyu vipi
Kwani Moyo wako utanunua furniture za kanisani, mic, ngoma, vinanda lete sadaka yani wewe usije tuNajua hata moyo wangu ni sadaka pia
kweli kabisaSie tunajua sadaka ni mioyo yetu, habari za fungu la kumi awaambie kina Mengi na Bakhresa
hahahahhh huyu kiboko ndio hawa wanatajirika kwa sadaka za waumin halaf waumin choka mbayaAnataka sadaka kuliko kitu kingine chochote
hahaahhhKwani Moyo wako utanunua furniture za kanisani, mic, ngoma, vinanda lete sadaka yani wewe usije tu
sante mbalizi nakukubali piaMiss chaga , everlin salt, shunie, atoto, geniveros na mimi
Sasa utapenda kweli kumonababa paroko wako mchafu, lazima na mimi nipendeze niwake hata kama kwa hela za sadakahahahahhh huyu kiboko ndio hawa wanatajirika kwa sadaka za waumin halaf waumin choka mbaya
Waumini nao wanayataka wenyewe, mie nshazoea baba Paroko wetu hata ukae bench mwaka mzima hakuulizihahahahhh huyu kiboko ndio hawa wanatajirika kwa sadaka za waumin halaf waumin choka mbaya
sawa baba parokoSasa utapenda kweli kumonababa paroko wako mchafu, lazima na mimi nipendeze niwake hata kama kwa hela za sadaka
hahahahhhWaumini nao wanayataka wenyewe, mie nshazoea baba Paroko wetu hata ukae bench mwaka mzima hakuulizi
Naona unataka kwenda kupakwa mafuta, uje basi kunisimulia ukuu wa Bwana tafadhalisawa baba paroko
HeheheKwani Moyo wako utanunua furniture za kanisani, mic, ngoma, vinanda lete sadaka yani wewe usije tu
[emoji23][emoji23][emoji23]Hehehe
Moyo wangu ni sadaka tosha
ila mm sadaka sina kabisa nipo mikono mitupu sijui kama nitamfaaNaona unataka kwenda kupakwa mafuta, uje basi kunisimulia ukuu wa Bwana tafadhali
Unaongeza idadi ya wapendwa, sadaka bora kuliko zote ni moyo. Na Mungu anaangalia moyo tuuuila mm sadaka sina kabisa nipo mikono mitupu sijui kama nitamfaa
Moyo mashineHehehe
Moyo wangu ni sadaka tosha
sawa nitaenda tatizo nitapokelewa [emoji23] si unajua kuna makanisa kama hauna hela huingii nahisi na kwa ba paroko nitakutana nayoUnaongeza idadi ya wapendwa, sadaka bora kuliko zote ni moyo. Na Mungu anaangalia moyo tuuu
Nenda bwana