Taja watu watatu wanaokufanya uendelee kuipenda JF

BAK this is my long time brother here in JF. God blesss him, I like his confidence and always respect his views. He is the great man of all time.

Daby huyu dogo ni kiazi sanaaa,anatumia waganga sana ili kun'garisha nyota, ni ndugu yangu tumbo moja, tumeshamuombea sana aachane na mambo ya waganga ila hasikii, na anapenda sana vitumbua na uji.
Hakasirikagi hata umfanyeje, mawazo yake yote ni wasichana tu na stori zake zote ni wanawake.
Ana mpunga mrefu sanaa.

mahondaw tom boy, kana gubu hatari, muda wote kamenuna, sasa hivi kameninunia eti hata post zangu hakaziquote, kalinitongoza pm, sasa hivi kanatoka na king julien. king julien anamuonea sana moris ila kiboko ya king julien ni kina skippers( penguin) -wazee wa akili nyingi.
Note: some of the JF posts are fully of fictions, dont take them too serious.
 
Mwanzilishi wa jf. Aliyebuni bundles kupitia vocha na Aliyebuni simu hawa ndio watu wangu watatu muhimu wanaoifanya niipende jf wengine watabaki tu kama washereshaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…