Taji Liundi: Tumshabikie Diamond kama mungu mdogo

Taji Liundi: Tumshabikie Diamond kama mungu mdogo

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
1719079405511.png

Taji Liundi

1719079508546.png

Diamond Platnumz
Akizingumza na vyombo vya habari mtangazaji na msema chochote maarufu Dar es Salaam Taji Liundi amesema Diamond anatakiwa kushabikiwa kama mungu mdogo.

Ameyasema hayo akisisitiza support kwa diamond na kuappreciate juhudi anazofanya.

Watanzania wamekusikia bro Taji Liundi akili kubwaz.

 
Huyu fala tu hana lolote hapo anasubiri kwenda kupiga posho si tayari kampigia promo jamaa !
 
Tuhuma.za kufanya USHOGA hapo wcb zinaendeleaje..uchunguzi umeanza ?
 
Back
Top Bottom